Monday, November 22, 2010


6 comments:

Anonymous said...

Nice stuffs. Ila jitahidini basi mbandike na price tag maana wengine tupo mikoani so ni vizuri nikijua bei roughly kabla sijaja dar. Itapendeza kwa kweli

Anonymous said...

Mna vitu vizuri, japokuwa sijui vinakuwa exported kutoka wapi, originals or copies, najua vyote tanzania vinapatikana. NI VIZURI MUWEKE BEI, VINAUZWA KWA BEI GANI? Jambo lingine ni vizuri zaidi kwa bidhaa kuwa organized, meaning viwe grouped, na sio kupiga picha tu na kutoa kwenye blogg.

Anonymous said...

unatisha dada uko juu!

Anonymous said...

Mamie hcho kjigauni chenye black na white unauzaje?

ADELA KAVISHE said...

hongera kipenzi imetulia sana

Anonymous said...

hco kigauni cha nyama bei gani???