Monday, November 22, 2010

8 comments:

Unknown said...

congrats mamy wadau ndiyo sisi

Nayma said...

natumai hujambo mdogo wangu hongera sasa nimeamini umekuwa na nimefurahi kuona maendeleo yako mungu akufanyie wepesi wakila jambo lako na uendeleee na moyo huo huo moyo waku kujituma na kutafuta tafuta rizki ya halali inshaalah utafanikiwa

Nayma sweden said...

Manshaaalah

Nayma sweden said...

Nawashauri watu walioko tz kwenda kumuunga mkono na sie tulio mbali unaweza kuagiza unaweza kupiga simu upate mawasiliano zaidi manake vitu sio vya kawaida safi sana upo juu mdogo wangu

MARIA said...

Habari Mboni?
katika mabinti wa Tanzania wanaonivutia kazi na upiganaji wao wewe ni namba moja kwangu. nimekuwa nikikufuatilia kwa muda mrefu sana. Nakupongeza kwa yote na siku zote nimekuwa nikikuombea kwa Mungu akupe mafanikio makubwa zaidi, unaweza ukakaa usijue lakini kaa ukijua ww unanifanya mm nifanye kazi kwa bidii ingawa uwezo wangu ni mdogo sana lakini namuomba Mungu cku moja nifanikiwe kama wewe. Umekuwa nyota katika maisha yangu. ingawa hata cku moja sijawahi kukutana na ww kwa kuwa mm si maarufu wala sina uwezo wakutembelea viwanja uvipendavyo lakini nakubali sana kazi yako na kitu ulichonifurahisha zaidi ulipoamua kuwasiliana na Shamim na Mama JJ kukuandalia Birthday ya mama yako hapo ndipo ulipokamilisha sentensi kuwa wewe ni mwerevu na mtu makini. Nakutakia kila la heri mpendwa. Mungu akubariki sana tena sana.
maria.

Anonymous said...

vitu vyako ni vizuri mpenzi, nimependa vigauni cha black lether and white, na hicho cha light purple, how much do u sell them?

Anita

Anonymous said...

vya ukweli dada!

Anonymous said...

vya ukweli dada!